Kimbanda — KIMBANDA

": Kuhifadhi rasilimali za maliasili (Wanyamapori, ardhi,mimea) kwa ajili ya matumizi ya leo na kesho (matumizi endelevu)"


Size

Kilometa za mraba 2150

Region / District

Namtumbo-Ruvuma

Kimbanda ipo katika Kata ya Lusewa, Wilaya ya Namtumbo katika Mkoa wa Ruvuma. Kwa upande wa Kaskazini, inapakana na Jumuiya ya hifadhi ya Mbarang’andu, Kisungule kwa upande wa Mashariki, Mto Ruvuma na Pori la akiba la Niassa upande wa Kusini.


Eneo la Jumuiya hii ni sehemu ya eneo kubwa ulimwenguni lililohifadhiwa la misitu ya miyombo.  Eneo hili linautajiri mkubwa wa bainowai ikiwa na jamii kubwa ya mimea na wanyama kama Tembo , nyati, pofu, palahala(loxodonta Africana), Kiboko(hippopotamus amphibious) na mbwa mwitu (Lycaon Pictus), Mapitio ya Wanyama (ushoroba) unaounganisha hifadhi ya Selous na Niassa ambao unapita ndani ya hifadhi ya Kimbanda, inahifadhi nusu ya mbwa mwitu waliosalia ulimwenguni.  Eneo hili linaupatikanaji mkubwa wa madini-chumvi na maji kama vitu muhimu sana kwa wanyamapori na hili linafanya eneo hili livute wanyama wengi wa aina mbalimbali ambao hupumzika na kuzaliana na hii inalifanya liwe na sifa kubwa ya uhifadhi.


Investments Opportunities


Location


Physical Address

Kimbanda ipo katika Kata ya Lusewa, Wilaya ya Namtumbo katika Mkoa wa Ruvuma. Kwa upande wa Kaskazini, inapakana na Jumuiya ya hifadhi ya Mbarang’andu, Kisungule kwa upande wa Mashariki, Mto Ruvuma na Pori la akiba la Niassa upande wa Kusini. Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori kwa Jamii,

S.L.P 24
Namtumbo

  • Google+
  • PrintFriendly