Chingoli — Chingoli

"Kulinda, Kutunza na kuhifadhi rasilimali zilizopo hususani Wanyamapori."


Size

938.1 Kilomita za mraba

Region / District

Tunduru

Eneo la Jumuiya hii ni sehemu kubwa ulimwenguni lililohifadhiwa la misitu ya miyombo.


Eneo la Jumuiya hii ni sehemu kubwa ulimwenguni lililohifadhiwa la misitu ya miyombo.  Eneo hili linautajiri mkubwa wa bainowai ikiwa na jamii kubwa ya mimea na wanyama kama Tembo , nyati, pofu, palahala(loxodonta Africana), Kiboko(hippopotamus amphibious) na mbwa mwitu (Lycaon Pictus), Mapitio ya Wanyama (ushoroba) unaounganisha hifadhi ya Selous na Niassa ambao unapita ndani ya hifadhi ya Chingoli, inahifadhi nusu ya mbwa mwitu waliosalia ulimwenguni.  Eneo hili linaupatikanaji mkubwa wa madini-chumvi na maji kama vitu muhimu sana kwa wanyamapori na hili linafanya eneo hili livute wanyama wengi wa aina mbalimbali na liwe na sifa kubwa ya uhifadhi.


Investments Opportunities


Location


Physical Address

Ofisi ya Jumuiya ya Chingoli
CBO Marumba
S.L.P 6. Tunduru


  • Google+
  • PrintFriendly