Highlights and Publications

KUKARIBISHA MAOMBI YA UWEKEZAJI KWENYE VITALU VYA UWINDAJI WA KITALII VILIVYOPO KWENYE WMAs

Imetolewa chini ya kifungu cha 31(7) cha sheria ya Wanyamapori Namba 5 ya mwaka 2009 & kanuni ya 51(2) ya kanuni za WMA za mwaka 2012

Jumuiya za Magingo (Liwale), Nalika (Tunduru), Kisungule (Namtumbo), Kimbanda (Namtumbo), na Chingoli (Tunduru) zinakaribisha maombi ya uwekezaji kwenye maeneo ya jumuiya za hifadhi za wanyamapori kwa wawekezaji wenye sifa kwa kipindi cha mwaka 2015 - 2018. kwa maelezo zaidi fungua kiambatanosho hapo chini.

Attachment: attachment TOURIST_HUNTING_BLOCK_ADVERT_2015

  • Google+
  • PrintFriendly