Highlights and Publications

KUKARIBISHA MAOMBI YA UWEKEZAJI KWENYE VITALU VYA UWINDAJI WA KITALII KATIKA WMA

Jumuiya Zilizoidhinishwa za Hifadhi ya Wanyamapori (Authorized Associations-AAs) zinakaribisha maombi ya uwekezaji kwenye vitalu vyao vya uwindaji wa kitalii vilivyo wazi kwa muhula wa Julai 2013-2018. Makampuni ya Uwindaji wa kitalii ya Kitanzania na Kigeni yenye vigezo vya kufanya biashara ya Uwindaji wa kitalii Tanzania yanakaribishwa kuomba Vitalu katika Maeneo ya Jumuiya (Wildlife Management Areas-WMAs)

Attachment: attachment Tangazo_la_Vitalu_TBC_SEPT_2013

  • Google+
  • PrintFriendly